SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

6 Times Rayvanny & Paula Served In Matching Outfits
Mitindo

6 Times Rayvanny & Paula Served In Matching Outfits 

Mwanamuziki Rayvanny na mwanamitindo Paula Kajala ndio power couple kwasasa. Wawili hawa wame-confirm uhisiano wao week chache zilizopita katika 19th Birthday ya Paula.

Since wawekewazi uhusiano wao huu Rayvanny na Paula wamekuwa wakiserve looks zao pamoja, ambapo mara nyingi wameonekana ku-match outfit zao. Ambacho tunaweza kusema tunapenda kumuona Rayvanny akiwa kwenye mionekano tofauti na ile tuliyoizoea.

Hizi ndizo mara 6 tumewaona wawili hawa in matching outfits

Tumewaona kwenye matching denim & t-shirt fit ambapo wote walimalizia mionekano yao na white kicks, Rayvanny hakusau accessories zake na cap huku Paula akiwa amebeba small black handbag. Tuliwaona pia in matching purple pant’s, blue T-shirts na white kicks pamoja na purple caps.. Lakini pia tuliwaona wakiwa wamevalia nyeupe na njano look.

Well hawakuishia hapo Paula na Vanny pia walituonyesha namna they can effortlessly pull off coordinating looks katika looks hizi 3 nyingine.

All we can say is we want to see more of these looks coming.

Related posts