SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

6 Ways To Layer Your Cloth In A Hot Weather Condition
Mitindo

6 Ways To Layer Your Cloth In A Hot Weather Condition 

Mara nyingi huwa tunapenda ku-blame hali ya hewa kama ndio chanzo kikubwa cha sisi kukosa kuvaa aina fulani ya mavazi au kuya-style namna hio, Moja kati ya vitu ambavyo tunaona wenzetu wanavifanya ili kuonekana stylish ni layering

Layering ni ile namna ambavyo unavaa vazi juu ya vazi mfano mzuri ni unapo vaa shirt na kuongezea blazer kwa juu au sweta hio ndio ina itwa layering, yaani kuvaa vazi juu ya vazi.

Hapa inaweza kuwa shida kwa wengi wetu na hii hali ya hewa phew nani anataka kuvaa mavazi mengi wakati tayari kuna joto? well leo tunakupa namna 6 rahisi ambazo unaweza kuvaa layering cloth in our weather condition.

 • Layer Mavazi Mapesi Na Achana Na Mazito

Pieces kama sheer,  chiffon, mesh, au lace yanafaa sana katika hali yetu ya hewa unaweza kutumia aina hii ya vitambaa ku-layer mtoko wako na bado ukawa unaweza kupata upepo mwilini bila jasho.

 • Kama Ungependa Kuvaa Blazer/Kimono/ Shirts Tafuta Amabazo Zipo Lose Na Nyepesi 

Sio lazima uvae out wear nzito kama tupo winter season, kwa hali yetu ya hewa tunapaswa kuvaa mavazi ambayo yapo loose na mapesi kwahio hata kwa upande wa out wear tafuta ambazo ni nyepesi, linen shirts, cotton blazer etc.

 • Go Cropped 

Namna nyingine nzuri ambayo unaweza ku-layer mavazi yako ni kwa kuvaa cropped cloth iwe ya nje au ndani ili kupata nafasi ya wewe kupata upepo kidogo, unaweza kuvaa cropped top nje ukavaa blazer, kimono au shirt lakini unaweza kuvaa nguo ndefu ndani halafu out wear ikawa cropped.

 • Who Needs Sleeves? When You Can Go Sleeveless 

Japo a sleeve blazer is a bad ass for corporate look lakini a sleeveless kimono/blazer is more sexier unashow some skin kwa kuonyesha mikono yako lakini pia unapunguza uzito na joto katika vazi lako.

 • Chagua Mavazi Ambayo Yana Layer Tayari 

Wakati mwingine huitaji vazi juu ya vazi unacho hitaji ni vazi ambalo tayari limetengenewa kuwa hivyo mfano ni kuvaa a ruffle top, dress au skirt haya tayari yanakuwa na layer inakupunguzia kuvaa vazi lingine juu.

Fashionista Choice: Two Colored Magnificent Ruffle Top

 • Layer accessories instead of clothes

Let the belt, cross over bag, or necklaces do the talking

pictures by @lovefromjulez

 

Related posts

2 Comments

 1. weed delivery toronto

  … [Trackback]

  […] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/6-ways-to-layer-your-cloth-in-a-hot-weather-condition/ […]

 2. 토렌트 다운

  … [Trackback]

  […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/6-ways-to-layer-your-cloth-in-a-hot-weather-condition/ […]

Comments are closed.