SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

7 Questions With Swalha Msabaha About Her Beauty And Style Event
Mitindo

7 Questions With Swalha Msabaha About Her Beauty And Style Event 

Sisi kama Afroswagga tunapenda fashion events hasa kama ni za mafunzo, Stylist Swalha Msabaha huwa ana fanya event ya Swalha beauty and style event mara moja kwa mwaka na hii huwa ni kila ikikaribia mwisho wa mwaka, kwetu ni kitu kizuri as tunapata kujifunza vingi kutoka kwake na watu mbali mbali lakini pia kupata nafasi ya kufanya shopping pale pale huku ukielekezwa vingi, Well tumepata nafasi ya kumuuliza Swalha Maswali yetu haya 7,

Afroswagga :Swalha Style And Beauty Event Ni Nini?

Swalha: It’s an event that aim to educate/provide a more understanding to women about style and how important it is to dress well and accordingly in their daily life basis, also it’s a platform for women to showcase their businesses (and sell). also it’s a platform for women to network and have a good time!

Afroswagga:  Kwanini MTU aje Swalha Style & Beauty Event? atapata nini?

Swalha: Kina vitu vingi sana, cha kwanza kabisa ni knowledge kuhusu style, pia as I said we have different women showcasing so it’s a chance to get one on one with these people/designers and get to know more about their products. Na pia ku network na wanawake mbali mbali na kujifunza pia

Afroswagga :Target ni watu wa aina gani? wazee? vijana?

Swalha: Our target is middle to high end people, mostly vijana na watu wa makamo

Afroswagga : Kipi Cha Tofauti Mwaka Huu na Mwaka Jana?

Swalha: There’s a huge difference this from my previous events, starting from decoration,venue etc..but the biggest thing is I’m bringing an international fashion influencer

Afroswagga : Brand zipi zina participate na tutegemee nini kutoka kwao?

Swalha: We have brands like An Nisa, enjipai, the rub spa, lavidoz etc

Afroswagga : Je Kuna Dress Code? Any Tips Za Nini Watu Wavae Wakija?

Swalha: Hamna dress code but we expect everyone who’s going to come to the event to be dress classy and elegant

afroswagga :  Una partner na kina nani katika workshop hii

Swalha: This year Ive partnered up with a PR/ Marketing Agency and they’re the ones who are helping me with the whole event preparations

Afroswagga: chochote ambacho ungependa kuwaambia wa Tanzania kuhusu event hii
Swalha: This is an event that is not to be missed, so I ask everyone to get their ticket and see you there😉!!

Kama ungependa kununua ticket na kuhudhuria warsa hii zinapatikana katika vituo hivyo hapo chini

Related posts

3 Comments

 1. mushroom side effects

  … [Trackback]

  […] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/7-questions-with-swalha-msabaha-about-her-beauty-and-style-event/ […]

 2. Watermelon 1g Disposable Vape

  … [Trackback]

  […] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/7-questions-with-swalha-msabaha-about-her-beauty-and-style-event/ […]

 3. Where to find DMT in Sydney

  … [Trackback]

  […] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/7-questions-with-swalha-msabaha-about-her-beauty-and-style-event/ […]

Leave a Reply