SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

8 Best Wedding Dresses Kutoka Kwa Wabunifu Kutoka Tanzania 2017
Mitindo

8 Best Wedding Dresses Kutoka Kwa Wabunifu Kutoka Tanzania 2017 

Kuchagua vazi lako la harusi si kazi ndogo lakini kazi kubwa pia ipo kwa wabunifu kubuni vazi ambalo eidha yeye mbunifu kalifikiria au kusaidiana na mwenye sherehe yake, 2017 ina karibia kuisha na hizi ndizo zilizo tuvutia kutoka kwa wabunifu wa tatu wa nguo za harusi Tanzania

Kyamirwa ni mbunifu ambae ana kuja juu kutokana na kubuni mitindo ya kipekee hasa ya harusi kwa wanawake iwe wedding guest, send off, na sherehe nyingine mbali mbali hizi tatu kutoka kwake zilituvutia zaidi

Muslim Bride – hili gauni limetuvuta kwa jinsi lilivyo buniwa vizuri zimekuwa presented neatly, tumependa jinsi ambavyo bi harusi amevaa hijab yake na hajaboa

Lace Dress – hii gauni ipo simple well fitted ni nzuri kwenye reception au kanisani kama utajifunika veil

Tumependa rangi na jinsi ambavyo nguo imebuniwa bila makelele, kwa sababu rangi ime shout mbunifu akaamua kukeep it simple na urembo.

ukiongelea wabunifu wanao fanya vizuri upande wa nguo za harusi za wadada huwezi kuacha kumtaja Elisha Red Label ni moja ya wabunifu wanao fanya vizuri kabisa na hizi ndio 3 tulizo zipenda kutoka kwake

tumeipenda hiiĀ detachable wedding gown kutoka kwa Elisha huku kwetu tunaiita kipepeo kutokana na muundo wake, well perfect color coordination na alieivaa amependeza sana

This blue dress brow our mind away kila tunapo liona, hii ilikua khatari Elisha hizi touchs si za hapa

Pink and gold off shoulder wedding dressĀ 

Kwa mwanadada ambae nae amejikita kwenye ubunifu wa mavazi ya maharusi Fifi_sugardesign nae tulipenda hizi kutoka kwake

tumependa hii gauni kutokana na jinsi kitambaa kimepangiliwa, uniqueness ya kitambaa na simple mshono

Mustard color is bar na ruffles are so in right now, Fifi gave us both in one this dress is fire.

 

tuna hope tuone vikubwa kutoka kwenu mwaka 2018, keep up the good work

 

 

Related posts

1 Comment

  1. psychedelic mushroom chocolate bars legal in florida

    … [Trackback]

    […] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/8-best-wedding-dresses-kutoka-kwa-wabunifu-kutoka-tanzania-2017/ […]

Comments are closed.