SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

9 Outfit Tracee Ellis Ross Wore While Hosting The AMA’s
Habari

9 Outfit Tracee Ellis Ross Wore While Hosting The AMA’s 

We all love a good weekend, hasa kama upo tu nyumbani lakini kuna vingi vinatokea huko duniani na all you can do scrow down and refresh your social media accounts kupata yanayojiri. weekend hii ilikua na mengi lakini moja wapo kubwa ni American Music Awards, huwa ziafanyika kila mwaka kuwapa zawadi/tuzo wanamuziki waliofanya vizuri kimuziki mwaka huo. Host wa mwaka huu alikuwa model, actress, comedian na bi. Tracee Ellis Ross.

Tracee Ellis Ross she didn’t play katika swala zima la mitoko, alivaa outfit tisa na zilikua hivi

Tracee Ellis wearing Stella McCartney burgundy sequin dress

Tracee Looking good in fluted-hem dress

Ellis akiwa amevalia sequin jumpsuit kutoka kwa vintage Halston na thigh high burgundy boots

xkarla and Giambattista Valli

Ellis Ross in Ronald van der Kemp

Ellis Ross in a catsuit and fur coat

 

Trace in white suit and vintage shirt ambayo alivaa mama yake Bi. Diana Ross mwaka 1981 akiperfoem katika American Music Award mwaka huo

Trace in see through dress and a flower crown

Tracee in Paco Rabanne dress

Related posts

2 Comments

  1. pop over here

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/9-outfit-tracee-ellis-ross-wore-while-hosting-the-amas/ […]

  2. PG ยืน1

    … [Trackback]

    […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/9-outfit-tracee-ellis-ross-wore-while-hosting-the-amas/ […]

Leave a Reply