SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

A Chop Or Drop Maison Margiela Tabi Boots
Mitindo

A Chop Or Drop Maison Margiela Tabi Boots 

Wabunifu wanaendelea kuwa inspired na vitu mbalimbali, miaka ya 1980, ambapo Maison Margeila alitengeneza hivi viatu akiwa inspired baada ya kutoka Trip, Japan. Japo kiatu hiki kimebuniwa miaka mingi nyuma bado kinaonekana kuwa iconic na kuendelea kuwepo kutoka na utofauti wake.

Hiki kiatu kina split toe ( kipo kama kwato) na chunky heel, tumeona watu maarufu mbalimbali wakiwa wamevalia hivi viatu na hivi karibuni tumemuona mwanamziki Cardi B akiwa amevalia vya rangi nyeupe.

Viatu hivi vinathamani ya $980 sawa na Tsh 2,272,579.49, well #afromates thoughts on the shoes je ni chop au drop?

Related posts