SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Abby Plaatjes Is Serving Us Wedding Guest Goals In Kyamirwa Dress
Mitindo

Abby Plaatjes Is Serving Us Wedding Guest Goals In Kyamirwa Dress 

Abby Plaatjes ni muigizaji, Radio host, mfanyabiashara lakini tulipata kumjua baada ya kwenda kushiriki shindano la Big Brother Africa, Abby hakushinda Big Brother but she surely leaved a mark, kwa sasa hasikiki sana ila all we know ni kwamba she slays na anaweza kuwa moja kati ya watu ambao ukiwaalika katika shughuli yako ujiandae maana anaweza kukufunika.

Weekend hii Abby ali attend harusini kama mgeni mwalikwa akiwa amevalia gauni la cream kutoka kwa mbunifu Kyamirwa , amevaa gauni lake hilo na head wrap

kutoka kwa make up artist thestudio_26 ambayo iliendana rangi na gauni lake, ame paka make up nzuri lakini she made a statement na gold earrings which went perfect well na rangi ya nguo yake

 

tumependa hii gauni ilivyo simple & elegant, we love every thing that is going on hapo kwenye marinda. kamaliza muonekano wake na black heels. Tunatamani angepata viatu rangi nyingine sio nyeusi lakini haija chusha pia.

Dress @kyamirwa
Makeup @the_studio_26

📷 @brainbongo

 

Related posts

2 Comments

  1. Recuperare energie

    … [Trackback]

    […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/abby-plaatjes-is-serving-us-wedding-guest-goals-in-kyamirwa-dress/ […]

  2. health tests

    … [Trackback]

    […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/abby-plaatjes-is-serving-us-wedding-guest-goals-in-kyamirwa-dress/ […]

Comments are closed.