Kuna wakati hatuisikii kuvaa mpaka tukapitiliza, kuna siku hatujisikii kuvaa statement chain, earings, au kuvaa statement shoes lakini whats a woman without her handbag? tunadhani handbag kwa mwanamke ni kama mtoto wake popote aendapo analo well unaweza kutumia hio handbag yako kufanya fashion statement, rahisi si ndio?
A Chic Colorful Clutch – hii ni njia rahisi wasichana wengi huwa wanaitumia pale ambapo amevaa mavazi ya kawaida ana beba clutch yenye rangi rangi na ina complete outfit yake kumfanya aonekane stylish
Well Tailored Work Bag : Hii nayo ni muhimu hasa pale unapo kuwa na bad day hujui uvae nini kazini handbag ina weza kubeba outfit yako kwa asilimia 75.
A Statement Bag: Rachel Zoe aliwahi kusema : “Style is a way to say who you are without having to speak.” wakati mwingine huitaji kuongea unapo tokea na kuonekana tu watu wanajua wewe ni mtu wa aina gani na ndio maana una hitaji statement bag katika kabati lako iwe colorful bag, floral bag au embroiled clutch ina tegemea na uchaguzi wako ila hii ni chaguo bora la kukutambulisha kabla hujajitambulisha
Cute Cross-Body : hizi ni zile zinazo pita mkononi zina mikanda mirefu, hizi husaidia pale usipo taka usumbufu wa kubeba bag kubwa mkononi hili ni chaguo zuri, chagua zenye rangi na quality nzuri na you unaweza kuvibeba na kuvalia nguo yoyote.
zinaweza zikawa designer au pochi za kawaida uka beba na kupendeza
Related posts
7 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/acha-pochi-iongee-let-your-bag-do-the-talking/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/acha-pochi-iongee-let-your-bag-do-the-talking/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/acha-pochi-iongee-let-your-bag-do-the-talking/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/acha-pochi-iongee-let-your-bag-do-the-talking/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/acha-pochi-iongee-let-your-bag-do-the-talking/ […]
… [Trackback]
[…] There you will find 25881 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/acha-pochi-iongee-let-your-bag-do-the-talking/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/acha-pochi-iongee-let-your-bag-do-the-talking/ […]