SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Add A Little Dramatic Puff Detail On Your Strapless Wedding Guest Dress To Stand Out
Mitindo

Add A Little Dramatic Puff Detail On Your Strapless Wedding Guest Dress To Stand Out 

Wanasema kwenye harusi hutakiwi kuonyesha too much cleavage as uta ondoa attention kwa bi harusi na watu kuwa wanakushangaa wewe na kifua chako, lakini hio haimaanishi usivae off shoulder au strapless  dresses but mishono hii sasa ishakuwa common kama ukitaka kuonyesha a little skin basi utavaa strapless dress au off shoulder dress.

Well seems like mafundi na wataalam wa mitindo wamekuja na style hii mpya inayotend kwa sasa ambapo wameongezea chachu ya puff detail kwenye strapless dress ili kuondoa ile boring look na mfanano unapovaa strapless dresses

Tumeiona kwa muigizaji na fashionista’s Elizabeth Michael yeye alivaa hii kwenye sherehe ya wadogo zake ambapo alivalishwa na pete pia siku hio, amevaa this type of dress in yellow color & doesn’t she look sensational?

Muigizaji Rita Dominic yeye alihudhuria tuzo za AMVCA akiwa amevalia gauni la aina hii yeye alivaa in blue color, akachagua puff iwe kubwa kidogo ku-make a statement kwenye red carpet we love love.

 

Wakati mbunifu kutoka Nigeria pia  Bolaji Chizoba Ayinde alionekana katika aina hii ya mshono ambapo yeye alivaa kama two pieces skirt ya blue na top ya purple we love the color combo na hii statement puff detail.

Well we hope tumekupa idea ya mshono utakao vaa kwenye harusi yako ijayo.

 

Related posts

1 Comment

  1. Masum

    Masum

    […]usually posts some quite intriguing stuff like this. If you’re new to this site[…]

Comments are closed.