Mwanamuziki kutoka Kenya Victoria Kimani ameonekana akiwa amevalia hii outfit ya Orange katika NBA Africa Game 2017, tumependa jinsi ambavyo hii outfit imekuwa styled

Amevaa orange romper ambayo imewekwa mikono mikubwa, ame accessorize na fishnet nyeupe, bangili, hereni vya dhahabu

Amepaka simple makeup na bold lipstick huku ameachia weaving yake nyeusi

tunaweza kusema Victoria ameacha outfit iongee, ame maliza muonekano wake na knee length boots za orange zenye ming’aro hii outfit ime mfanya a-stand out WE APPROVE

Comments

comments