SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Afroswagga Fashion Awards Winners List
Mitindo

Afroswagga Fashion Awards Winners List 

Hello #afromates tuanze na kusema Happy New Year kwa kila mmoja wenu na ahsanteni kwa kuendelea kuwa nasi, Mwaka huu tulianzisha Afroswagga Online Fashion Awards ambapo tuliwashirikisha mates wetu katika upigaji kura lakini pia team yetu ya ma-judge ilikaa kuchagua nani anafaa na nani tumuache aendelee kujitahidi, kama ambavyo tulisema awards hizi zina lengo la kunyanyua wale ambao bado wana chipukia. Na hawa ndio washindi wetu wa mwaka huu

Fashionable Female Celebrity Of The Year 2018 – Vanessa Mdee

Fashionable Male Celebrity Of The Year 2018 – Juma Jux

Afroslayer Of The Year 2018 – Sishkiki

Fashionable Movie Of The Year – Day After Death By Wema Sepetu

Designer Of The Year – Lucky Creations

Stylist Of The Year 2018 – Macrida Joseoh

Fashionable Music Video Of The Year – Fella by Navy Kenzo

Accessory Designer Of The Year 2018 – Meraki Tanzania

Fashionable Media Personality Of The Year 2018 – Meena Ally

Female Model Of The Year 2018 – Gertrude Kasala

Male Model Of The Year 2018 – Thom Nguka

Fashion Photographer Of The Year 2018 – Canny Sopher

Fashionista Of The Year 2018 – Lavidoz

Makeup Artist Of The Year 2018 – Cherrie Mals

Fashion Blog Of The Year 2018 – Elvis 360 Magazine

Ni matumaini yetu mwisho wa mwaka huu 2019 mtatupa ushirikiano kama ambao mmetupa 2018 katika mchakato mzima wa Tuzo hizi lakini pia tutoe shukrani kwa wadhamini wa Tuzo hizi ambao ni Darling Hair Tanzania na The Shoe Gamez kwa kutupa support.

Related posts