Agness Masogange amekua akionekana kupendelea kuvaa Lace up heels na vina mpendeza na pia anajua kuvi style, leo tuna crush on Agnes Lace Up Heels na jinsi alivyo zi style

Agness ame style lace up heels zake zenye rangi ya kijani cha jeshi na nguo zenye rangi hio (one color outfit)13715183_164057787347809_15889889_n

white lace crop top, bandage skirt na gold lace up heels13735891_1632740347040341_543974241_n

bandage skirt, blouse na black lace up boots13741070_283133005383149_2106988073_n

 

brown shades 13767699_1755728167978721_849605028_ne

 

 

Comments

comments