Hawakua wanatania walipo kuwa walipo sema rumor has it, week chache zilizo pita kulikuwa na tetesi kwamba Navy Kenzo First Lady Aika ni mjamzito kwetu tulifikiri ni tetesi tu na kama ni mjamzito basi labda bado ujauzito mdogo well seems like the joke was on us, maana leo Aika na Nahreel wame amua ku-release maternity photo shoot yao na ujauzito ni mkubwa tu. Back to our field (fashion) Aika slayed, we mean a girl wasn’t playing on this one
Mpenzi wa Aika ambae ni producer, mwanamuziki na kwa pamoja ndio wanaunda kundi la Navykenzo aliweka hii picha with a caption “Dear #Gold we cant wait to see you ‘little guy” so seems like mtoto ni wa kiume na ataitwa gold. loving every thing about this photo, back ground color, color ya nguo, accessories, makeup every thing is on point.
Aika & Nahreel pamoja in white & black outfits, again kila kitu on point kasoro hilo bangili la mkononi kama halija m-fit hivi Aika but it can be forgiven
All Black outfit, this long coat is to die for.
Hongera Nahreel na Aika we cant wait to meet the little Navykenzo Prince. & Noel Gio you did a great job as a stylist( Naileeed)
Related posts
6 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/aika-navykenzo-just-dropped-her-maternity-photo-shoot/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/aika-navykenzo-just-dropped-her-maternity-photo-shoot/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/aika-navykenzo-just-dropped-her-maternity-photo-shoot/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/aika-navykenzo-just-dropped-her-maternity-photo-shoot/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 42285 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/aika-navykenzo-just-dropped-her-maternity-photo-shoot/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/aika-navykenzo-just-dropped-her-maternity-photo-shoot/ […]