SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Aina 4 Za Flat Shoes Zitakazo Kufanya Uonekane Elegant
Mitindo

Aina 4 Za Flat Shoes Zitakazo Kufanya Uonekane Elegant 

Kuna aina nyingi sana za viatu ambavyo ukivaa vitakufanya uonekane elegant. Kama unavyojua kuwa kiatu ndio kitu ambacho kinafunga muonekano wako, ukikosea kwenye kiatu utafanya muonekano wako wote kuharibika na ukipatia basi kinanyanyua muonekano wako kwa kiasi kikubwa.

Kuna watu hawawezi kuvaa heels kutokana na sababu mbalimbali. Leo tunakuletea solution ya tatizo lako la kudhani heels ndo kiatu pekee elegant

Aina 4 za flats ambazo zitakufanya uonekane elegant,

  • Ballet flats

Kuna aina nyingi sana za flats shoes ila ballet flats ni aina ya kiatu ambacho kinakufanya uonekane elegant kwa extra mile, ballet ni classy, comfy, elegant na perfect kwa kuvaa kila siku. Kuna big brands pia hutengeneza ballet flats kama Christian loubotin na jimmy choo.

  • Mules shoes

Kilianza kuvaliwa kipindi cha rome but now kipo kwenye trends na kimeteka sana dunia. Mules shoes ni aina ya kiatu ambacho ukivaa unajifeel comfortable na classy kitu ambacho kinakufanya uonekane elegant ukivaa iko kiatu ni kwa sababu kinachukua attention ya muonekano wako wote na ukiwa umevaa palazzo itakufanya uoekane classy, chic, na elegant.

  • Loafers

Unaambiwa loafers shoes ni simple to get on and off. Loafers vipo katika materials tofauti tofauti kama leather, rubber, suede, wool. Kwasasa watu wengi hupenda kuvaa loafers kama casual wear, lounge wear na hata business wear na vitakufanya kuonekana elegant kwa muda wote na kuwa comfortable kwa shughuli za siku nzima za kikazi pia

  • Brougues shoes

Hiki ni aina ya kiatu ambacho ukivaa kitakufanya uonekane elegant kwa sababu kinacover sehemu kubwa ya mguu. Brougues ni kiatu ambacho unaweza kuvaa na aina nyingi ya mitoko unaweza ukavaa na short loose dress na ukaonekana elegants na mtu ambae unaenda na fashion. Pia aina hii ya kiatu unaweza ukavaa na jeans kwa sababu mastar wengi wa nje upendelea kuvaa ivo na bado ukazidi kuonekana more elegant & stylish.

Note; kama utamua kuvaa aina hizi 4 za viatu ambavyo vitakufanya uwe na muonekano wa elegant usisahau kupiga picha na kushare picha yako kwetu. Tunatumaini umapata kitu cha kuadd ili undeleee kuwa elegant, fashionable na nk.

Imeandikwa na gotchathegreatest

Related posts

2 Comments

  1. big chewy nerds

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/aina-4-za-flat-shoes-zitakazo-kufanya-uonekane-elegant/ […]

  2. chocolate chip bars 9 by 13 pan

    … [Trackback]

    […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/aina-4-za-flat-shoes-zitakazo-kufanya-uonekane-elegant/ […]

Comments are closed.