SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Aina 4 Za Mikoba Unazopaswa Kuwa Nazo
Mitindo

Aina 4 Za Mikoba Unazopaswa Kuwa Nazo 

Kuna msemo unaosema ” Handbags Speaks Louder” huu si utani, kama kuna kitu ambacho huongea kwa sauti ni handbag na viatu, pale ambapo kimoja kikiwa kime fail basi outfit nzima ina fail, sio lazima handbag au kiatu chako kiwe original lakini hakikisha vina look smart na kuendana na mahala uendapo.

Hizi ni aina 5 za handbag ambazo kila mwanadada anapaswa kuwa nazo

Neutral Color Carry All Bag

Hii ni ile day to day bag ambayo wengi tunaibeba iwe ma-ofisini, katika mihangaiko yetu ya hapa na pale, linaitwa carry all bag sababu humo kinaingia kila kitu kuanzia simu, funguo za gari, waller, hela, vitambulisho, flat shoes etc. Hii ni perfect kwa ajili ya mizunguko yako as unaweza kuhifandhi kila kitu unacho hitaji katika safari yako, mostly inapendeza ikiwa neutral color sababu rangi hizi zinaingiliana na kila nguo lakini pia hutaku kuonekana una shout katika ofisi au mikusanyiko ya watu.

Cute Clutch

Hii kwa ajili ya ile mitoko ya usiku, date date, harusi, red carpets etc huihitaji kubeba handbag kubwa kwenye events kama hizo, una hitaji a clutch to fit in your mascara, id’s, fedha na simu.

Cross Body BagĀ 

Hii ni ile weekend friendly bag, tunalipenda hili bag sababu ipo too cool & chilled halina makelele lakini pia sio kubwa wala sio dogo, ina fit kila kitu na extra kidogo, this bag is so stylish and meant for weekends & holidays

Mini BagĀ 

Mini bag zina trend sana kwa sasa na zipo very stylish lakini wengi wananunua na hawajui wazibebe wapi well let us tell you, unaweza kuzibeba kwenye brunch na events ambazo hubebi vitu vingi hii ni another version of clutch ila imebuniwa in carry it all style. Fashionista wengi wanazibeba sasa hivi ila wale huwa wana show off tu katika picha zao usidanyanyike kuibeba ofisini hizi bag are meant for certain events.

 

 

Related posts

4 Comments

 1. Investing in the stock market

  … [Trackback]

  […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/aina-4-za-mikoba-unazopaswa-kuwa-nazo/ […]

 2. Asbestos Abatement Brainerd MN

  … [Trackback]

  […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/aina-4-za-mikoba-unazopaswa-kuwa-nazo/ […]

 3. NKSFB

  … [Trackback]

  […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/aina-4-za-mikoba-unazopaswa-kuwa-nazo/ […]

 4. Dave T Bolno

  … [Trackback]

  […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/aina-4-za-mikoba-unazopaswa-kuwa-nazo/ […]

Comments are closed.