Mara nyingi tukiwa tunaongelea wardrobe essentials tuna sahau kuhusu viatu, wengi huwa wanatoa tips za mavazi gani muhimu uwe nayo katika kabati lako na kusahau viatu, hii inapelekea baadhi ya watu kuwa na mlundikano wa viatu vya aina moja sababu tu wapo comfortable navyo na inapo fikia siku anatakiwa kuvaa kiatu cha aina fulani labda kwa sababu ya shughuli fulani anaanza kuhangaika madukani. Kwa kuliona leo tume waletea aina 5 za viatu kila mwanadada ana paswa kuwa navyo.
- Nude Pumps
A pair of nude pumps huwa zinaenda na almost kila nguo, zinaingia kila mahali iwe red carpet, kazini, casual au business wear. lakini pia nude shoes husaidia kufanya miguu yako ionekane mirefu zaidi kuliko ilivyo, zinaweza kuwa back up plan yako pale unapo taka kuvaa nguo za rangi rangi na hauna kiatu cha ku match, so when it comes to shoes nude pumps nazo ni essentials.
- Black Sandals
Black sandals ni version ya nude pumps hizi nazo ni nzuri kwa kuwa zinaenda na kila aina ya nguo lakini pia zinaweza kutoka kwenye day work to night out, chagua a good pair ya black sandals iwe heels au flat chochote kinacho endana na style yako lakini pia kumbuka mikanda ikiwa minene sana inaweza kusababisha miguu yako kuonekana mifupi.
- Statement Heels
Unazihitaji hasa katika mitoko maalum ambayo inahitaji wewe kuvaa heels ambazo ni eye catching, lakini pia hata kama huna mtoko maalum na una hitaji ku-make a statement miguuni more kuliko kwenye nguo then the statement heels are your best friends kwenye situation hii zinaweza kuwap umps with an animal print, a vibrant color, quirky fabric, or unexpected details, hizi ni kama kuvaa mavazi yenye rangi rangi zina boost up your mood.
Ballet Flats
Ballet flats ni aina ya viatu ambayo unaweza kuvaa mwaka mzima, zinaweza kuvalika kazini, na kwenye mitoko hii inategemea na jinsi ambavyo unaweza kuvi-style lakini pia ni comfortable haviumizi miguu kama heels pale ambapo ungependa kupumzisha miguu yako from heels pain, Ballet flats ndiyo jibu lako.
- Sneakers
Well sneakers ni kama a pair of flat sandals kwa sasa zinaweza kuvaliwa na kila aina ya vazi kuanzia skirt, gauni, suruali na hata kaptula, kuna zile siku unahitaji kuvaa viatu vifupi lakini yet stylish basi unazivuta tu hizi. Zinaweza kuwa colorful as in red, green etc lakini pia unaweza kuchagua black or white to be more safe
- 4 FASHIONABLE WAYS STELLA UZO WORE HER SNEAKERS
- Fashion Fix : How To Wear Sneakers With Ball Dress Just Like Rihanna And Kelly Rowland
Hope umepata mawili matatu kutoka kwetu na kujua ni aina gani muhimu ya viatu uwe navyo katika kabati lako.
Related posts
2 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Here you can find 80386 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/aina-5-za-viatu-kila-mwanadada-ana-paswa-kuwa-navyo/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/aina-5-za-viatu-kila-mwanadada-ana-paswa-kuwa-navyo/ […]