Kama kawaida on friday lazima tuwaletee yule anae tubamba na fashion zake hasa katika upande wa Muslims, Na leo tunae bibie Aisha Ibrahim mschana anae tokea Nigeria lakini ana kaa London, tunapenda mitindo yake as kuanzia rangi za mavazi mpaka anavyo ji style

her casual look game is so on point

 

Mid wide legs pant

 

wedding guest style

suit it up

long coats unaweza kumfollow Instagram @aishaibrahimxv

Unaweza kuwasialiana nasi kupitia

Instagram – Afroswagga

Facebook – Afroswaggamag

Twitter – Afroswaggatz