The Fabulous Hustle A.K.A ARĀ au Ally Rehmtullah kama tunavyo mjua wengi, ni mbunifu kutoka Tanzania ambae ana fanya vyema bado. Ally kwa sasa yupo Cape Town South Africa kwa ajili ya fashion show ya Mercedes benz hii si mara yake ya kwanza Ally kutuwakilisha katika show hii amesha fanya mara nyingi mno lakini kwa leo tuna ongelea mitoko ya Ally huko Cape Town
tuseme tu Ally he is carrying him self huko haja jiangusha
all black outfit with a fur touch, tunajua fur ina trend kwa sasa kwanini Ally apitwe? lol
blue jeans t-shirt nyeupe, blazer aka malizia na viatu vyekundu ambavyo vime make statement and a AR bag
Loved this one japo angetoa hio kot tuielewe zaidi hii nguo ya ndani, ni kama overall hivi na jacket nyeusi aliyo match na viatu, miwani na silver chain of course akamalizia na Aly Rehmullah bag
Ally is all about accessorize na makig statement kama mnavyo ona ana bracelets za shanga. mkufu (kama wa kitenge hatuna uhakika) statement ring, miwani na AR kitenge bag
kimono, top, wish tungeiona hio suruali vizuri, chocker, brown shoes AR bag na bracelets za shanga tuna weza kusema Ally hapa alikuwa a mix of japan na africa and we love it
kama una maoni yoyote tuambie kupitia
Instagram Afroswagga
facebook – afroswaggamag
Twitter – afroswaggatz
Related posts
4 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/alicho-vaa-ally-rehmtullah-katika-mercedes-benz-fashion-week/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/alicho-vaa-ally-rehmtullah-katika-mercedes-benz-fashion-week/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/alicho-vaa-ally-rehmtullah-katika-mercedes-benz-fashion-week/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/alicho-vaa-ally-rehmtullah-katika-mercedes-benz-fashion-week/ […]