SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Alichovaa Elizebeth Michael Lulu Katika Siku Yake Ya Mahari
Mitindo

Alichovaa Elizebeth Michael Lulu Katika Siku Yake Ya Mahari 

#roadtoFrancilizy ndio kama imeanza taratibu ni mambo ya kutu surprise tu, walitu-surprise na engagement na leo tumepewa surprise ya mahari day, usiku wa kuamkia jana muigizaji Elizabeth Michael ametolewa mahari na mchumba wake Francis a.k.a Majizzo, huwa tunapenda mavazi ya Elizabeth akiwa ana attend events au harusi za watu wengine, anapaniaga haswa & tulikuwa na shauku ya kuona yeye atavaa nini katika harusi yake, na ndio ameanza kutupa rasha rasha za huko tunapo elekea, kwenye engagement ilikuwa surprise kwake pia so she wore a beautiful yellow dress.

Jana haikuwa surprise alijipanga and she chose to wear this dress kutoka kwa @secky_land_of_fashions, ni nude dress ambayo ina sequins za silver, we love the cape hand shoulder detail, zimeongeza chachu katika dress.

Makeup done by @lavie as usual she didn’t dissapoint us kwenye makeup we love the pink lipstick imefanya outfit iwe na rangi, the highlighter can be used as torch umeme ukikatika, hair style on point.

Wakati kwa bwana Majizzo yeye alivaa burgundy shirt akiwa amemalizia na blue trouser na black shoes, well congrats to Lulu & Majizzo.

Let us know your opinion katika mavazi yao wame slay or nah? appropriate kwa mahari day au hapana?

 

Related posts

4 Comments

  1. hawaiian magic mushrooms

    … [Trackback]

    […] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/alichovaa-elizebeth-michael-lulu-katika-siku-yake-ya-mahari/ […]

  2. Dark Chocolate Almond,

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/alichovaa-elizebeth-michael-lulu-katika-siku-yake-ya-mahari/ […]

  3. Obtaining the Spirit Molecule

    … [Trackback]

    […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/alichovaa-elizebeth-michael-lulu-katika-siku-yake-ya-mahari/ […]

  4. health tests

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/alichovaa-elizebeth-michael-lulu-katika-siku-yake-ya-mahari/ […]

Comments are closed.