SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Alichovaa Gigy Money Katika Baby Shower Yake
Mitindo

Alichovaa Gigy Money Katika Baby Shower Yake 

Weekend ilikua na kila aina ya shamra shamra kaka yetu Ay ameoa lakini pia Gigy Money amefanya baby shower yake, yes watu walipendeza & she did look good with some cloth on,

Tumependa kwamba amevaa kitu na kuchukua muda wake kushirikisha designer na fashionistas katika mavazi yake

Gauni ya kwanza alivaa Dash Dash kutoka kwa @2colections_dubai, Alipendeza sana, make up. nywele, accessories on point japo this is a baby shower sio maulid we expected something simple na rangi iliyo tulia kidogo, kama nyeupe, pink, blue etc. She looked good though.

 

Vazi la pili lilitoka house of stylish, kwa dada Wolper tuna furahi kuona wasanii wana supportiana lakini pale mtu anapo amua kuku-support jaribu kumpa kile anacho stahili again this was a baby shower, tulitegemea Wolper angemvalisha Gigy a simple dress yenye rangi moja,kuna vitu vingi vinaendelea kuanzia rangi, pattern za kwenye kitambaa, accessories just too much. Japo tumependa kwamba Gigy amejaribu kujiweka kimama.

Tupe maoni yako wewe je katika Hizi outfit ipi ni hit na ipi ni Miss?

Related posts

4 Comments

  1. พนันบอลออนไลน์

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/alichovaa-gigy-money-katika-baby-shower-yake/ […]

  2. ยารักษาหนองใน

    … [Trackback]

    […] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/alichovaa-gigy-money-katika-baby-shower-yake/ […]

  3. Darknet market links 2023 thank You!

    … [Trackback]

    […] There you can find 9852 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/alichovaa-gigy-money-katika-baby-shower-yake/ […]

  4. usdt 판매

    … [Trackback]

    […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/alichovaa-gigy-money-katika-baby-shower-yake/ […]

Comments are closed.