SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Alicia Keys on makeup free & African touch’s katika Gazeti la Allure February 2017
Afro Fashion

Alicia Keys on makeup free & African touch’s katika Gazeti la Allure February 2017 

Mwanamuzi Alicia Keys ambae ni moja kati ya wanamuziki pendwa Duniani kutokana na style yake ya muziki na maisha yake ki ujumla. Ni mara chahce sana kumkuta Alicia katika scandal za ajabu ajabu yeye ni mpenda amani na ana penda kupigania haki za wanawake.

Alicia Hivi karibuni alianzisha movement ya make up free ambapo aliianza kwake mwenyewe kwa kuamua kuto kupaka kabisa make up na hii ame onekana kuendelea nayo mpaka leo ambapo ame tokea katika Gazeti la Allure February 2017 akiwa ana make up kidogo sana na tuna dhani iliitajika na wenye gazeti

unaweza kuona hapo ana purple eye liner

balck under eye liner (waswahili tunaita wanja wa chini ya jicho)

Pia Alicia hakuishia hapo with all this battles zinazo endelea Duniani between wa Africa na ngozi nyeupe, yeye ame amua kuthibitisha u-Africa wake kwa kuvaa viremba vya kitenge we love us some Alicia

na hii ndio cover ya gazeti hio, humu ame ongelea maswala mbali mbali ikiwemo movement yake ya makeup free, music na motherhood, una weza kubonyeza hapa kuweza kusoma interview yake

Wasiliana nasi kupitia

Instagram – afroswagga

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz

Related posts

4 Comments

 1. ufa

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/alicia-keys-on-makeup-free-african-touchs-katika-gazeti-la-allure-february-2017/ […]

 2. visit this website

  … [Trackback]

  […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/alicia-keys-on-makeup-free-african-touchs-katika-gazeti-la-allure-february-2017/ […]

 3. 영화 다시보기

  … [Trackback]

  […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/alicia-keys-on-makeup-free-african-touchs-katika-gazeti-la-allure-february-2017/ […]

 4. where to buy magic mushrooms​,

  … [Trackback]

  […] Here you will find 74714 additional Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/alicia-keys-on-makeup-free-african-touchs-katika-gazeti-la-allure-february-2017/ […]

Leave a Reply