Anaitwa Aliya Briliant wengi tunamjua kama @ab_designs_ katika ukurasa wake wa Instagram, Aliyah ni mbunifu lakini pia ni fashionista wa mavazi ya stara. Kwa wale ambao huwa mnalalamika kwa kuto kujua wapi kwa kwenda ku-shop mavazi mazuri ya stara basi Aliyah ni jibu lenu, ana buni abaya, open abaya, magauni ya harusi etc.
Caped Abaya’s
Evening/ Wedding dresses
Casual wear
Tunapenda mavazi yake yapo modest lakini pia yana kustiri maungo yako, ukiachana na yeye kubuni lakini pia anapenda fashion, she is a fashionista her self ukiingia kwenye page yake unapata mavazi lakini pia inspiration ya jinsi ya kuvaa mavazi hayo kutoka kwake.
Aliyah In her Own Creation
Alivaa hii gauni katika Pink Abaya Event na amesema ilichukua 2hr kuishona, unaweza kumtafuta hata kama umechelewa kupata fundi, she can create magic in few hours
You’l never go wrong with red & Black
Black On Black
Kama umependa kazi zake unaweza kumfollow instagram @ab_designs_
Related posts
HOT TOPICS
We need to have some sort of bima ila for enjoyment. Yaani wanakata ka % ka mshahara kako unakua na card ukienda se… https://t.co/W9oDoaN2YY
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…