Moet & Chandon wamesheherekea Moet Grand Day ambayo imewaunganisha watu maatutu mbalimbali kutoka katika bara la Africa. Kwetu Tanzania ambao walituwakilisha ni Rio Paul, B Dozen, Brigitte Alfred pamoja na fashionista Doris, theme ya hii siku ilikuwa all white na tuliwakilishwa vyema kabisa.
Brigitte alivaa lace dress na long blazer huku akimalizia muonekano wake na accessories pamoja na gold sandals. Doris yeye alivaa co ord set nyeupe top ikiwa na statement sleeve ya gold kutoka kwa mbunifu Mahumes
B Dozen yeye alivaa all white fit akamalizia na white & green kicks huku akiwa ameaccessories muonekano wake na scarf na saa, Rio alichagua a white suit akamalizia muonekano wake na black shoes na ku-accessorize na saa.
Well you can’t go wrong in white.
Related posts
2 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/all-white-affairs-while-toasting-with-moet/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/all-white-affairs-while-toasting-with-moet/ […]