SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

All You Need To Know About Victoria’s Secret Fashion Show 2018
Mitindo

All You Need To Know About Victoria’s Secret Fashion Show 2018 

The Victoria’s Secret Fashion Show ni show ambayo hufanyika kila mwaka ikiwa  sponsored by and featuring Victoria’s Secret,a brand of lingerie and sleep wear, show hii ilianzishwa miaka ya tisini ambapo lengo kubwa la kufanya hii show ni kupromote na  market its goods in high-profile settings. Wanamitindo wakubwa wanatembea katika show hii lakini pia ni ndoto ya almost kila mwanamitindo kutembea katika Victoria Secrets Fashion Show.

Mwaka huu imefanyika usiku wa kuamkia leo na haya ni mambo machache ambayo tumeyaona katika show hii,

  • Adriana Lima Last Walk As A Victoria Secret Angel

Adriana Lima ni mwanamitindo kutoka Brazil ambae ametembea katika runway ya victoria Secrets Fashion Show toka mwaka 1999, yaani ana miaka 19 akiwa anatembea katika runway hii, jana ndio ilikuwa mwaka wake wa mwisho kutembea katika runway hii,The show paid a special tribute to Lima ambapo wakati anapita katika run way hii waliplay a video tribute ya matukio yake ya miaka yote akiwa katika show hii.

Lima also shared her gratitude in an Instagram post Wednesday.

“Dear Victoria, Thank you for showing me the world, sharing your secrets, and most importantly not just giving me wings but teaching me to fly,” she wrote in the caption of the post.

  • Mwanamitindo Kutoka Tanzania Herieth Paul Atembea Katika Runway Hii Kwa Mara Ya Tatu

Herieth alianza kutembea katika runway ya Victoria Secrets akiwa na miaka 19 na sasa anamiaka 21 na ni mara yake ya tatu kutembea katika runway hii, Herieth ni moja ya wanamitindo ambao wanafanya vizuri Tanzania na nje ya Tanzania.

kama ambavyo tumesema mwanzo wanamitindo wengi wakubwa wangependa kutembea katika runway ya Victoria Secrets Fashion Show na sio wote wameweza kupata nafasi hio, kumuona msichana mdogo kutoka Tanzania akiwa anatembea katika show hii ni jambo la kufurahia,

  • Kendall Jenner Kurudi Katika Run Way Hii Baada Ya Mwaka Mmoja Wa Mapumziko

The Kardashian sister Kendall Jenner amaerudi kutembea katika Runway ya Victoria Secrets Fashion Show baada ya kuchukua mwaka mmoja wa mapumziko, mwaka jana Kendall hakuonekana katika runway hii kutokana na kuchukua likizo ya kumpuzika, some people dream of walking on the show, some takes leave’s well thats life.

  • The Collection 

Collection ya mwaka huu ina vitu vingi, alot is going on kuna floral’s, plaids, sheer,lace, sequin’s,

 

  • Super Models As Usuals 

Winnie

Gigi Hadid

Bella Hadid

well are you feeling this Victoria secrets fashion show?

Related posts

2 Comments

  1. cheap subutex buprenorphine for sale

    … [Trackback]

    […] Read More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/all-you-need-to-know-about-victorias-secret-fashion-show-2018/ […]

  2. dehydrated mushrooms bulk​

    … [Trackback]

    […] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/all-you-need-to-know-about-victorias-secret-fashion-show-2018/ […]

Comments are closed.