SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

ALLY KHERY,ALLY HASSAN, DAXX CRUZ au MR FRESH
Mitindo

ALLY KHERY,ALLY HASSAN, DAXX CRUZ au MR FRESH 

Anamajina mengi mno unaweza kumuita Ally Khery,Ally Hassan,Ally DAXX Hassan lakini wengi tunamjua kama Daxx Cruz ni mwanamitindo wa kiume kutoka Tanzania ambae ana ipeperusha bendera yetu vizuri zaidi.
Dax ameanza kuonekana kwenye majukwaa muda mrefu kwa Tanzania amesha wahi kuonekana katika jukwaa la Swahili Fashion Week,Maridadi Fashion Show na mengine mengi.
New Image
Baada ya hapo Daxx akaanza kuonekana kwenye majukwaa makubwa kama Mercedes-benz fashion week lililo fanyika mwaka 2012 huko Africa ya kusini
1970405_831506340196660_1899480948_n
Pia akaonekana kwenye majarida ya magahazeti mbali mbali nje na ndani ya nchi kama katika gazeti la Destiny Man Magazine nchini afrika kusini
046
na gazeti la FAS
34715_656094181084533_1246955293_n
Tunaweza kusema Dax dhumuni lake si kuwa maarufu kama wafanyavyo watu maarufu wengine lakini yeye dhumuni lake ni kufanya anacho kipenda kwa ufanisi zaidi na kuipeperusha Tanzania kupitia sekta ya mitindo.
052

057

058

dax

DAXX1

Na kwa kuthibitisha hilo daxx ameonekana katika gazeti kubwa liitwalo Essays Of Africa kutoka South Africa mwaka huu ambapo kwa sasa ndipo anapo ishi na kufanyia kazi zake.
saxx4

Related posts

3 Comments

 1. สล็อตเว็บตรง แตกง่าย

  … [Trackback]

  […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/ally-kheryally-hassan-daxx-cruz-au-mr-fresh/ […]

 2. these details

  … [Trackback]

  […] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/ally-kheryally-hassan-daxx-cruz-au-mr-fresh/ […]

 3. 늑대닷컴

  … [Trackback]

  […] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/ally-kheryally-hassan-daxx-cruz-au-mr-fresh/ […]

Leave a Reply