SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

ALLY REHMTULLAH ALIPO TOKA NA ALIPO FIKA
Mitindo

ALLY REHMTULLAH ALIPO TOKA NA ALIPO FIKA 

Ally Rehmtullah si jina geni masikio mwa wengi, ni mbunifu kutoka Tanzania ambae amezalia january 18 1986, Ally (29) baada ya kumaliza masomo yake huko United States alirudi Tanzania na kuanza kazi kama mwalimu wa graphic arts, lakini hakukaa sana aliamua kujikita kwenye ubunifu.

unnamed

mwaka 2006 Ally alipata nafasi ya kushiriki katika mashindano ya Redd’s African Fashion Design Awards (RAFDA) ambapo alimbunia Jokate Mwegelo gauni la jioni, ambapo Jokate  alikua Reds Ambassador wa mwaka huo. Huo ndo ulikua mlango wa Ally kutokea kwa maana mwaka huo huo Ally alifanya onyesho lake la kwanza mwezi wa kumi na mbili onyesho hilo lilitwa Smiling Face Entertainment mashabiki walipenda ubunifu wake.

1

Kuanzia hapo Ally alianza kuonekana kwenye majukwaa mbali mbali kama Swahili Fashion Week,B&B Fashion House,Tanzania Red Ribon Fashion na mengine mengi nje na ndani ya nchi. amefanya maonyesho mengi kama Going chic with Safari inspired wear,

Ally Rehmtullah’s 2025 Collection

2025_12025_42025_17

TEMPTATIONS

temptations_002 temptations_005 temptations_007

Kwa sasa Ally ni mbunifu mkubwa sana Tanzania na anamiliki duka lake la ubunifu wake  maeneo ya masaki jijini Dar Es Salaam.

2 3

1

Related posts

3 Comments

 1. Plantation Shutters

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/ally-rehmtullah-alipo-toka-na-alipo-fika/ […]

 2. when to stop orlistat​

  … [Trackback]

  […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/ally-rehmtullah-alipo-toka-na-alipo-fika/ […]

 3. shroom chocolate bar Michigan

  … [Trackback]

  […] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/ally-rehmtullah-alipo-toka-na-alipo-fika/ […]

Leave a Reply