SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

AMVFR- Hallelujah By Diamond Platnumz
Mitindo

AMVFR- Hallelujah By Diamond Platnumz 

Msanii mwenye A.K.A zake nyingi kidogo, Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platnumz ukipenda muite Chibu dee Chibude au kwa sasa anaitwa baba watatu ame toa wimbo mpya unaoitwa Hallelujah wimbo mzuri sana ni wimbo utakao ishi maana haukinaishi kuusikiliza lakini sisi hatupo huko sisi tupo kwenye fashion, na leo tunafanya review ya video hiyo ya Hallelujah kutoka kwa Diamond Platnumz,

We must say stylist amefanya kazi nzuri, inaonekana sasa wasanii wa Africa wameamua kutumia vitenge katika video zao which is ni kitu kizuri kutangaza vya kwetu, katika hii video mwanzo Diamond amevaa denim on denim na hood ya mustard, amependeza mno as denim on denim huwa inapendeza mno na kupop up that mustard color imefanya ang’ae 

kwenye scene nyingine diamond ameoekana kuvalia all black huku akiwa ametupia na military coat as usual akiwa ametupia accessories zake na kofia aina ya boshori (mzuula)

Scene nyingine ameonekana akiwa amevalia suruali ya kitenge, shirt nyeupe huku akiwa ameegesha denim coat iliyo ongezewa touchs za dashik, amemalizia muonekano wake na kofia ambayo inaendana na kitenge cha suruali, viatu vyeupe, mikufu na miwani.

wakati mwisho kabisa ameonekana kuvalia pink kofia na jacket

alio washirikisha yaani Morgan Herritage na wengine walivalia black, kilicho tuvutia zaidi ni jinsi walivyo changanya culture ya Jamaica na Africa ambapo wasichana walivaa vitenge (african culture)

 

na wengine wakiwa wamevalia Jamaican bejeweled bikini’s kama zile anavaaga Rihanna akiwa Barbados

Fashion katika video hii tunaipa 99.5 ukitoa kwamba diamond ame rudia sana accessorize na boshori mara nyingi katika wimbo huu lakini pia ameshazitumia katika video zake mbali mbali.

unaweza kuitazama hapa

Related posts

4 Comments

  1. Bubble Tea

    … [Trackback]

    […] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/amvfr-hallelujah-by-diamond-platnumz/ […]

  2. 토렌트 사이트

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/amvfr-hallelujah-by-diamond-platnumz/ […]

  3. https://nchc.org/nutrition/weight-management/phenq-reviews/

    … [Trackback]

    […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/amvfr-hallelujah-by-diamond-platnumz/ […]

Leave a Reply