SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Anerlisa Turned 33 In Elisha Red Label Dress
Mitindo

Anerlisa Turned 33 In Elisha Red Label Dress 

Incase hujamjua Anerlisa ni nani, Anerlisa ni CEO wa Nero ni mfanyabiashara kutoka Kenya lakini pia ni mke wa mwanamuziki Ben Paul kutoka Tanzania. Jumamosi Anerlisa alisheherekea siku yake ya kuzaliwa akiwa ndani ya gauni jekundu kutoka kwa mbunifu Elisha Red Label kutoka Tanzania.

Ilikuwa one shoulder dress ambayo ilikuwa na matching gloves na slit, Elisha made sure her curves and waist areflaunted very well, while Elisha ameshikilia swala la mavazi huku makeup by eddie yeye alikuwa kwenye makeup, ambapo alihakikisha the face matches the outfit

Well Afromates make sure to leave your comment down below and let us know your thoughts on our in law look.

Related posts