As a blogger ni jambo la kawaida kujikuta una zurura kwenye blogs za wenzio, only kuona whats new, nini mwenzio ana fanya wapi ana kosea na wapi ujifunze. Wakati tupo huko mizuruloni sasa tukakutana na fashion blog ya Nigeria iitwayo style vitae, na huko tukakuta wam epost huyu mdada alie re-rock hii outfit kutoka kwa Beyonce ambapo Beyonce alivaa mwaka jana December wakati ana perform katika park wood entertainment
Beyonce alivaa skirt ya kitenge na off shoulder ruffle blouse na skirt pia ilikuwa na ruffle which tuliipenda sana hii outfit kipindi hiko
Lakini inaoneka sio sisi tu tulio upenda muonekano wa Beyonce mwana dada huyu kutoka Nigeria ambae ni It by professional yeye aliamua kutengeneza muonekano huu huu na kuvaa ana itwa NKEM ODUM
ambapo mwenywe wakati ana ongea na blogger huyo alisema ’m going to title today’s outfit post “Ruffle Overdose”! This outfit is completely and totally inspired by an outfit Beyonce had worn for a performance late last year. I always had this top, and I felt I wanted to do it more justice than a pair of jeans or a pencil skirt. As soon as I saw Beyonce’s take on the blouse, I knew I had to rock it like she did.
Una weza kubonyeza hapa kusoma zaidi haya tuambie una mpa marks ngapi kutokana na mtoko huu
Instagram – afroswagga
Facebook – afroswaggamag
Twitter – afroswaggatz
Related posts
1 Comment
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Here you can find 33015 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/angalia-jinsi-mnaigeria-huyu-alivyo-re-rock-beyonces-outfit/ […]