Palesa Mahlaba ni fashion blogger kutoka South Africa, Palesa ni moja kati ya fashionista ambao wapo tofauti yaani huwezi kufananisha style zake na mtu mwingine she always stand out uniquely na leo ametufurahisha na jinsi alivyo style hili gauni la kitenge

Ni gauni simple tu ambayo sisi au wewe tunge istyle kawaida tu lakini yeye amefikiria nje ya box, amevali gauni hili na high knee boots za maroon, ame accessorize na matching accessories belt, choker na bangili la dhahabu

Sisi tumependa wewe je?