SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Anza Mwaka Wako 2019 Kwa Kuacha Makosa Haya Ya Fashion
Mitindo

Anza Mwaka Wako 2019 Kwa Kuacha Makosa Haya Ya Fashion 

Tukiwa tunaanza mwaka 2019 tuliweka malengo ya kujiwekea mwaka huu, lakini leo tunakuletea makosa ya fashion ambayo wengi huwa tunayafanya na tuna paswa kuyaacha,

ukiongelea kuhusu fashion ina wigo mpana sana ni vyema kuwa unajaribu ku-experiment vitu mbalimbali ilikukupeleka pale unapo pataka, well tuone makosa yapi inabidi yaachwe

  • Limitation 

Kama ambavyo tumesema fashion inawigo mpana, wengi huwa tunajilimit tunavaa mavazi aina fulani kwa kudhani tu kwamba mavazi haya ndiyo yanawapendeza kuliko mavazi fulani lakini kumbe anaweza kuvaa mavazi ambayo anahisi hayampendezi na yakampendeza vyema tu. Wengine wana ji-limit kutokana na umri na maumbo yao, well mwaka 2019 tungependa uache kujilimit na kuanza ku-dare watu wengi ambao wanaitwa fashion icons ni wale ambao wapo tayari kwenda extra miles bila kujali nani atasema nini as long as they look good and different its all good to them. 2019 explore the fashion world.

  • Fighting Size

Kujua size yako ni jambo muhimu sana katika fashion every one looks good in fitting clothes, kuvaa mavazi makubwa kuliko size yako kunahide feature’s zako na kuonekana umeelemewa na mavazi,kuvaa mavazi madogo hakuleti picha nzuri the only way ya wewe kuonekana vyema ni kujua size ya mavazi yako, most fashionable people duani wanavaa mavazi ambayo yana wafit perfectly,

  • Kupangilia Mavazi

Unatakiwa kujua rangi gani inaendana na rangi gani, ukivaa nguo kubwa chini juu unatakiwa kuvaa nguo ndogo ili ubalance propotion, kuvaa nguo zote kubwa anaoenaka umeelemewa na vazi, unapovaa zote ndogo unaonekana umebanwa sana jua kubalance propotion na hii ni hata kwenye rangi, unapovaa one shouting color basi jaribu kuvaa na ambayo ina calm color ili kutoku-compete katika muonekano wako.

  • Ditch The Trend

Ilikuwa fashionable kwenye dunia ya fashion unahitaji ku-stand out, kuwa nje ya box kuna msemo huwa unasema in the World full on the kardashian be the Beyonce, hata kama ukivaa hio trend jaribu kuistyle kuwa watofauti.

Haya mambo matatu yaaweza kuwa madogo lakini huwa yana haribu mionekano ya watu kwa kiasi kikubwa mno 2019 jaribu kujifunza kuviepuka hivi vitu na mwisho wa mwaka utatupa majibu ya namna ambavyo hii article imekusaidia.

Related posts

2 Comments

  1. credit card debt

    … [Trackback]

    […] There you can find 34338 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/anza-mwaka-wako-2019-kwa-kuacha-makosa-haya-ya-fashion/ […]

  2. buy psilocybin mushrooms in denver​

    … [Trackback]

    […] Here you will find 481 additional Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/anza-mwaka-wako-2019-kwa-kuacha-makosa-haya-ya-fashion/ […]

Comments are closed.