Heri ya mwaka mpya kwa kila mmoja wenu, tuuanze mwaka kwa kupendeza au sio? wana sema wewe ndiye unaye chagua uanze vipi siku yako eidha kwa furaha au kwa huzuni hilo linaenda sawa na kuuanza mwaka wako, kama utaanza mwaka na ku slay basi mwaka wako wote utakua hivyo na kama ukiamua kuuanza hovyo basi fanya jitihada hapo katikati ubadirike maana huto taka kuwa headline midomoni mwetu lol.
haya ikiwa ni jumatatu ya mwanzo kabisa ya mwaka hizi ni ideas za wewe uvae nini katika week hii
black & white
Flares
Gingham is taking over Print
be girlish with pink
nude jumpsuit
ukiangalia outfit zote hapo juu zina rangi zilizo tulia za kike, hii ime tokana na huo msemo wa hapo juu wa utakavyo anza siku yako ndio utakavyo imaliza kwaio kuvaa calm colors zina weza kukufanya ukapata furaha kwa siku yako nzima na kukufanya uanze mwaka wako kazini vizuri
Wasiliana nasi
Instagram – afroswagga
Facebook – afroswaggamag
Twitter – afroswaggatz
Related posts
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…