SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

ANZA WIKI YAKO KWA KUVAA SUTI KAZINI
Mitindo

ANZA WIKI YAKO KWA KUVAA SUTI KAZINI 

Suit (suti) ni vazi moja lina heshimika sana, japo si wengi ambao tuna lipendelea hasa kwa sababu ya hali ya hewa pia lina onekana boring, lakini kwa wale ambao wana livaa huwa lina wapa heshima fulani watu huwaona kama watu makini na muhimu katika jamii, na hii ndio ilileta msemo ukivaa suti afu utembee kwa miguu ni dharau kwa vazi hilo, vazi hili lina valiwa kwa pande zote mbili wanaume kwa wanawake lakini leo tutaangalia upande wa wanawake zaidi,

d994cbd1bb7d06fe3fadc7617f615c69 f94ecea3bf37e087181a4b8968539452 ffeb4e34cea86bfbae856a7c7828a942

unaweza kuchanganya rangi kama inavyo onekana hapo juu lakini pia ina pendeza zaidi zikiwa rangi tulivu, suit inaweza kuvaliwa na viatu virefu na hata vifupi.

e66f13866f0c2d7570cdaebe32e89556

Hot-Sale-Formal-Pant-Suits-for-Women-Trousers-Suits-Winter-Gray-Blazer-Ladies-Work-Wear-Office Women-Business-Suits-2014-New-Autumn-Formal-Office-Ladies-Pantsuits-Plus-Size-Women-Work-Wear-Women

Lakini pia hata suit ya rangi moja huvutia hasa kama hupendi rangi rangi na kama una enda kwenye mikutano muhimu.

Formal-Business-Suits-for-Woman

zipo pia suit za sketi nazo ni nzuri kama una taka kuonekana sexy na ku flaunt miguu yako.

Related posts

3 Comments

 1. Cheap DMT for sale Perth

  … [Trackback]

  […] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/anza-wiki-yako-kwa-kuvaa-suti-kazini/ […]

 2. buy dmt vape pen

  … [Trackback]

  […] Here you can find 44901 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/anza-wiki-yako-kwa-kuvaa-suti-kazini/ […]

 3. ufabtb

  … [Trackback]

  […] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/anza-wiki-yako-kwa-kuvaa-suti-kazini/ […]

Leave a Reply