Tumezoea kuona wanaume wakivaa head wrap, lakini pia kuvaa scarf kama wakiwa kwenye ndoa au wale waarabuni na kuna namna ambavyo wanavaa.
Lakini seems like rapper ASAP Rocky anataka kuleta trend ya wanaume kuvaa head scarf kama hijab au vvile ambavyo mabibi huvaa kwa kuzungusha scarf kichwani na kuifungia chini ya kidevu
Mwanamuziki huyu ali attend katika LACMA Art and Film Gala in Los Angeles, akiwa amevalia head to toe Gucci, ambapo alivaa black suit akamalizia muoenekano wake na Gucci loafers ,printed satin robe, miwani na floral-motif scarf.
watu wengi walionekana kupingana na uamuzi wa rapper huyu kuvaa scarf namna hio japo mwenyewe ameonekana kushawishi wanaume wengine wavae scarf, well seems like style imeanza kuingia mtaani as tumemuona Instagram fashion influencer manny_thegoat akiwa amevalia style hii
tupe maoni yako je ni sawa au si sawa.
Related posts
3 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/are-we-here-for-men-wearing-head-scarf/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/are-we-here-for-men-wearing-head-scarf/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/are-we-here-for-men-wearing-head-scarf/ […]