SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Art Or Trash – Moschino $700 Dry Cleaning Bag Dress
Mitindo

Art Or Trash – Moschino $700 Dry Cleaning Bag Dress 

Moschino wamekuwa wakitupa ile “what the hell” Feeling kila mara wanapo toa designs zao, from chandelier dresses

 

Flower bouquet dresses

na sasa wamekuja na Dry Cleaning Bag Dress ambayo imetengenezwa na transparent polyester kutoka kwa re-used plastic bags, mara ya kwanza ilikuwa debuted katika autumn/winter 2017 showcase ambapo Stella Maxwell alivalishwa na kupita nayo katika run way akiwa amekuwa accessorized na apiece of hanger kichwani

Kama ni mpenzi wa kupeleka nguo dry cleaner utakua unaijua hii mifuko huwa wanatumia kuifadhia nguo zikisha pigwa pasi na kufuliwa zisiingie vumbi, lakini hata mtu wa kawaida unaweza kuwa nayo kuifadhia nguo zako wenzetu nje wanatumia sana na ma stylist pia wanaitumia sana katika kazi zao. 

kitu ambacho moschino wameongezea katika mifuko hii ni izo graphic za label yao na maandishi mengine mengine, inauzwa $700 sawa na pesa yetu ya Tanzania Tsh 1,540,000/- 

je ni ubunifu au ni trash na je utavaa nguo yako ndani nje ukavaa huu mfuko?

Related posts

2 Comments

  1. Cheap Burma Mushrooms online,

    … [Trackback]

    […] There you can find 30386 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/art-or-trash-moschino-700-dry-cleaning-bag-dress/ […]

  2. Buy Cz gun

    … [Trackback]

    […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/art-or-trash-moschino-700-dry-cleaning-bag-dress/ […]

Leave a Reply