SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Asake And Rihanna Rocking Skirt As A Top
Mitindo

Asake And Rihanna Rocking Skirt As A Top 

2018 Rihanna alionekana kwenye mishe zake akiwa amevalia denim look, huku akiwa amevalia skirt kama top au au accessory na sote tunajua mwanadada huyu anavyopenda ku-take risk hasa linapokuja swala la mitindo.

Rihanna Aja Na Style Hii Ya Kuvaa Short Skirt

last weeke mwanamuziki kutoka Nigeria, Asake na yeye alionekana kuwa amevalia denim and denim look huku top ya juu akiwa amevalia skirt, well hatujui kama Asake aliona hii kutoka kwa Rihanna au na yeye ni kuamua kuwa risk taker.

tuambie a clap or slap?

Related posts