SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

ASC – WASANII WAZAMANI FASHION IME WAKOSEA NINI
Mitindo

ASC – WASANII WAZAMANI FASHION IME WAKOSEA NINI 

ASC au Afroswagga Shade Chamber  tulichukua muda wetu kukaa na kufikiria wale wasanii walio kuwepo zamani waka tamba na kila gazeti waliandikwa, wawe bado wapo kwenye peek au lah hawa watu hawako sawa kabisa katika swala zima la mitindo yaani una weza kukutana na picha ya mtu uka jiuliza mara mbili mbili huyu ni yule ambae tunamjua sie ambae alikuwa hakauki kwenye magazeti au mwingine? nywele zipo vibaya, achana na nywele bado wana paka ule wanja wa sina mume, make up haziko vizuri na mavazi ndio husiseme ukiuliza nini eti tumekua jamani mna mjua Jada Pinket Smith? ana miaka 45 na bado she is kick it na fashion ana kimbizana na mwanae

na no hatusemi mkae utupu ila jiwekeni wasafi basi, Angelina Jollie ana miaka 41 lakini huwezi hata ku notice kwamba yupo on her forties

na wengi wenu hata 35 hamja vuka basi tu kujiweka ovyo  huko mitandaoni hadi tunaona shida kuwa follow na wengine hadi mna sahaulika kwa jinsi mnavyo jiweka, kuna watu wapo mpaka leo ni kwa ajili ya wanavyo ji weka watu kama Monalisa,

Rose Ndauka

Natasha

mama wa Monalisa wapo enzi na enzi na mpaka leo kwa sababu wana keep up na muda na huko ndio kuji brand, Mama yake Monalisa ana jitaidi hata kupungua mwili na ana mtoto mkubwa kama Mona wewe una mtoto wa miaka mitano ume jiachia ukiulizwa eti nimesha kuwa mama, msitufanyie hivyo jamani mna potea kwa sababu ndogo sana. Please badilikeni

Related posts

4 Comments

  1. B+ Magic Mushrooms

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/asc-wasanii-wazamani-fashion-ime-wakosea-nini/ […]

  2. dragongaming

    … [Trackback]

    […] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/asc-wasanii-wazamani-fashion-ime-wakosea-nini/ […]

  3. Buy Albino Penis Envy Mushroom Online Queensland.

    … [Trackback]

    […] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/asc-wasanii-wazamani-fashion-ime-wakosea-nini/ […]

  4. buy dried psilocybin mushrooms online​

    … [Trackback]

    […] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/asc-wasanii-wazamani-fashion-ime-wakosea-nini/ […]

Leave a Reply