SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Baada Ya Long Tail  Huu Ndio Mshono Mpya Kwa Sasa
Mitindo

Baada Ya Long Tail Huu Ndio Mshono Mpya Kwa Sasa 

Excuse us long tail the drama,insanely long sleeves are here to stay, kama ulichoshwa na kuvaa magauni yenye mkia mrefu ukawa unawaza ufanye nini au ushone nini kuwa unique washukuru Irene Uwoya, Hamisa Mobetto na Wema Sepetu wao wamekuja na hii style mpya ambapo tail inakuwa mikononi, kama utakuwa umeshona aina hii ya mshono inabidi vingine vyote viwe minimum usizidishe na kuacha wenyewe uwe statement,lakini pia make sure mikono yenyewe haina mbwembwe nyingi or else utaonekana kichekesho, oh yes we first saw it kwa

  • Irene Uwoya

Ambae yeye alivaa huu mtindo katika sherehe ya mtoto wa Zamaradi na tulipenda sana utofauti wake na alipendeza pia, seems like Irene ameanzisha na wengine wakafuata

  • Hamisa Mobeto

Hamisa took a slayer queen of the week kutoka kwetu Afroswagga kwa hili ambapo yeye alichagua kuvaa gauni ya rangi nyeupe na gold that real snatched her body, she made it clear that she is the queen kwa kumalizia na crown kichwani, We live for Hamisa fashion & pettiness

  • Wema Sepetu

Yeye alivaa hizi long sleeve as a wedding guest ambapo alivaa pink & purple dress lakini the theme was ki-Nigeria so akamalizia na gele na urembo mbalimbali her dress imebuniwa na Kenny_the_Brand

Well tuambie wewe umependa design hii au hapa?

 

 

 

Related posts