SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Back To College Outfit Ideas
Mitindo

Back To College Outfit Ideas 

Ule wakati ambao wengi tunauchukia umeshafika, wakati ambao wanafunzi wanafungua shule. sisi wengine tunachukia mibanano kwenye magari na wakati wanafunzi wakichukia kurudi masomoni ( well kwa wale wasio penda shule).

Hapa hatuongelei wanafunzi wa shule za misingi maana wao wanavaa uniform hapa tunaongelea wale wa vyuoni wanaovaa wanavyo jisikia ili mradi tu uendane na maadili ya chuo, katika vyou vingi sasa hivi wameweka kanuni za vipi mwanafunzi wao anatakiwa kuvaa, baadhi ya kanuni hizi tumejaribu kuulizia ni

 • huruhusiwi kuvaa skirt au gauni lililo juu ya magoti, lazima zivuke magoti.
 • suruali au nguo zinazo bana zimepigwa marufuku.
 • blouse lazima ziwe na mikono mirefu

Basi tukaona si mbaya kwa wale ambao wanaanza hawajui wavaaje au ambao tayari walisha anza na wanashindwa kuji-style kutokana na mazoea fulani wakapata idea ya jinsi ambavyo wanaweza kurudi chuoni in a stylish way.

Kwanza kabisa unatakiwa ujue upo chuo na haupo kazini maana wengine wana aa utafikiri waajiriwa so official wakati chuo ni sehemu ya kusoma lakini pia ndio kipindi cha ujana ku-have fun.

Lakini pia umeambiwa uvae mavazi yasiyo bana basi ndio ujump to conclusion ya viroja na madira, kwa kanuni hizo unatakiwa uvae business-casual sio official sio casual yaani upo katikati, vipi? ungana nasi hapo chini.

Pallazo ni one thing hutakiwi kumiss katika kabati lako, unaweza kuvaa na long sleeve top, flat shoes na backpack (essential)

A long skirt dont have to be boring, stripes are so in right now unaweza kuchagua zinazo trend kama stripes au pleated skirt na kuistyle upendavyo.

Kwasababu hutakiwi kuvaa suruali au nguo ya kubana unaweza kuvaa skin jeans, blouse inayo kuachia na ndefu ukatupia na cardigan ndefu  au kimono kwa juu,

Long dress ya chaguo lako inaweza kuwa kata mikono, ukavaa na bomber jacket ili kuficha mikono mifupi, uka accessorize na scarf kuficha kifuani. Decent & stylish.

Have fun in college.

Related posts

3 Comments

 1. ร้านลูกโป่ง

  … [Trackback]

  […] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/back-to-college-outfit-ideass/ […]

 2. Exhibition booth setup

  … [Trackback]

  […] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/back-to-college-outfit-ideass/ […]

 3. dmt vape pen https://exotichousedispensary.com/product/dmt-vape-pen/

  … [Trackback]

  […] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/back-to-college-outfit-ideass/ […]

Comments are closed.