Iris Apfel na Baddie Winkle wote ni wazee wanao penda mitindo ambao wamejizoelea wafuasi wengi wanao wafuata katika mitandao.
Iris amezaliwa mwezi wa nane, 29, 1921 ana miaka 94 ambapo ni mfanya biashara, ni mpambaji wa nyumba na Mpenda mitindo. Amesoma sanaa katika chuo cha New York. Amefanya kazi na ma kampuni mbalimbali kama mpambaji mpaka pale alipo stahafu ana wafuasi 17.6 K katika mtandao wa INSTAGRAM. kwenye maelezo yake katika ukurasa wake wa instagram ameandika” Nadhani ni vizuri kuwa na furaha kuliko kuvaa vizuri)
WAKATI
Baddie Winkle amezaliwa mwaka 1928 ana miaka 87 ni Mfanya biashara wa kwenye mitandao, ambae amajizoela umaarufu na kufuatwa na watu maarufu kama Rihanna na wengineo ana wafuasi 1.3M. kwenye maelezo yake katika ukurasa wake wa instagram ameandika”nimekuibia mpenzi wako toka mwaka 1928.
Related posts
5 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/baddie-winkle-vs-iris-apfel-2/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/baddie-winkle-vs-iris-apfel-2/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/baddie-winkle-vs-iris-apfel-2/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/baddie-winkle-vs-iris-apfel-2/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/baddie-winkle-vs-iris-apfel-2/ […]