Okay tunajua kwamba hakuna snitch kama fashion, katika maisha yetu ya fashion kitu ambacho kina sisitizwa ni kuvaa mavazi ambayo yanakutosha vyema, well fitted cloth but guess what? fashion snitched us again maana baggy au over sized cloth ndio new fit kwa sasa,Well sio kama hakukuwahi kuwa na hii fashion kabla ilikuwepo miaka ya 80 na 90 lakini ikapotea, msisitizo ukawa kwenye kuvaa mavazi yanayo fit,kwa sasa trend imerudi na tumeshuhudia watu maarufu wengi wakivaa so its safe to say the world gone baggy niwakati wa Mr. Over size ku -shine na wale wavivu wa kupeleka nguo kwa fundi au kuvaa nguo za kubana this is for you lakini hata wale wapenda trend mnaweza kukaa humu,
Tuone namna ambavyo unaweza ku-style mavazi ya aina haya na tumeona nani na nani wakiwa wamevaa mavazi haya
- Kaa karibu na Size yako
Hapa tunamaanisha kama unavaa size 8 unaweza kuvaa size 9-10 na bado ikaonekana over size, sometimes less is more sio kwa sababu ni trend basi ununue mavazi ambayo hayakutoshi kabisa kumbuka, trend come’s and go utanunua mavazi yanayokuzidi sana size yako trend ikiisha utashindwa hata kupeleka kwa fundi yapunguzwe, the best way ni kununua yale ambayo yapo karibu na size yako unaweza kupunguza trend ikiisha au ukaongezeka mwili na yakakutosha lakini pia bado utakuwa unauwezo wa kuonyesha features zako za mwili kama mavazi hayatokuwa oversize sana.
- Changanya Over Size na Fitted
Njia nyingine rahisi ni kuchanganywa over sized na fitted, japo wengi wanasema go big or go home sometimes its okay to be in the middle, sio too extra wala sio nje ya trend upo ndani ya trend lakini ukiwa in a minimum way, unaweza kuchagua kuvaa oversize top na skin jeans au leggins, au ukaamua kuvaa over size trouser na fitted top.
- Belt It
Kama ungependa kuonekana fashionable na kuonyesha structure katika vazi lako la over size hakikisha una vaa belt, inasaidia kuonyesha shape na kukufanya uonekane fashionable.
- Go Extra
Hapa we have to warn you, not everyone is Lady Gaga & not Every one is Rihanna, lakini pia wapo ambao watakuona kichaa, ukitaka kuwa extra unatakiwa kuwa very careful na vazi lako, hasa kwenye accessories, makeup, nywele na viatu lakini pia ina tegemea na uendapo or else utamezwa na vazi na kuonekana mwendawazimu.
well tuambie wewe unaonaje trend hii yay or nay?
Related posts
3 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/baggy-over-sized-fashion-is-the-new-fit/ […]
… [Trackback]
[…] There you will find 71111 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/baggy-over-sized-fashion-is-the-new-fit/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/baggy-over-sized-fashion-is-the-new-fit/ […]