Kuna msemo usemao vizuri gharama na mhenga aliye usema huu msemo wala hakukosea, vitu vingi vizuri inabidi uvigharamikie na katika ulimwengu wa fashion kiwe kizuri au kibaya ili mradi brand yake ni kubwa basi ni gharama.
Tumeiona hii handbag kutoka kwa mbunifu Balenciaga ambayo inauzwa $2,050/-, ni handbag ya leather ambayo imekaa kama pembe tatu. Hii bag inakuja katika rangi mbalimbali ikiwepo nyeupe,njano, blue etc.
Tumeona Fashionista wawili kutoka Africa, Nigeria wakiwa wamebeba handbag hii mmoja wapo ni Muigizaji, na Media Personality Toke Makinwa ambapo yeye amechagua handbag hii kwa rangi ya njano. Amelistyle mara mbili ambapo mara ya kwanza alivalia na colorful shirt dress na some kicks, perfect for a fun outing
Na mara ya pili alivaa na denim skirt, graphic t-shirt akamalizia na off white green belt, kicks na miwani. We love this outfit iko stylish,colorful & comfortable
Fashionista wa pili ambae tumemuona nayo nae anatoka Nigeria ni Model, producer na mjasiriamali anaitwa Ebube Nwagbo ambae yeye anayo mawili la blue na gray. Ame ya tsyle mara nyingi awezavyo na hizi ndizo mara mbili tulizo zipenda kutoka kwake.
Tumependa hapa alivyo i-style hii ya blue na hizi two pieces off white outfit, amemailiza na blush pink pumps, hii outfit ni nzuri ukivaa kwenye date night ina u-elegance fulani lakini yet fun.
Hii ya gray alii-style casual na all balck outfit na ku – pop some color na red heels, akamalizia na sun glasses.
Well bado zipo zinauzwa katika website yao kama ungependa kununua unaweza ku click hapa Balenciaga.com
Related posts
4 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/balenciaga-triangle-duffle-bag-yenye-thamani-ya-4679022-50/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/balenciaga-triangle-duffle-bag-yenye-thamani-ya-4679022-50/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 4180 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/balenciaga-triangle-duffle-bag-yenye-thamani-ya-4679022-50/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/balenciaga-triangle-duffle-bag-yenye-thamani-ya-4679022-50/ […]