SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Balenciaga Used Car Parts Into His Fall Winter Collection 2017
Mitindo

Balenciaga Used Car Parts Into His Fall Winter Collection 2017 

Kampuni ya Balenciaga imekuwa iku tu suprise siku hadi siku na ubunifu wao, well kwetu sisi hii ni weird design walianza na heeled crocs na sasa wamekuja na collection ya fall winter ambayo wamatumia baadhi ya parts za gari kubuni nguo na clutch

Wametoa skirt ambazo zimebuniwa na car door mart na zinauzwa 2,495 sawa na Tzs 5,489,000/- collection ya fall winter ni kipindi cha baridi swali letu ni je zipo warm kiasi hicho mpaka ziuzwe hivyo au? 

lakini pia kuna clutch zilizo tengenezwa na side mirrors za gari ambazo zenyewe zinauzwa  $2,395 , sawa na 5,269,000/-

tuambie je utanunua? je utavaa?

Related posts

2 Comments

  1. rich89bet

    … [Trackback]

    […] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/balenciaga-used-car-parts-into-his-fall-winter-collection-2017/ […]

  2. hawaiian magic mushrooms

    … [Trackback]

    […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/balenciaga-used-car-parts-into-his-fall-winter-collection-2017/ […]

Leave a Reply