Wakati tukifikiri tumesha yaona yote kutoka kwa wabunifu Balenciaga wao wana tuambia the night is still young, bado kuna mengi ambayo yanakuja na yanafurahisha na baada ya kuleta zile ugly daddy shoes na zile yeboyebo za kuvukia mto sasa wameleta yeboyebo zenye kisigino kirefu,

Wakati wengine wakiwa wanasema Balenciaga should fire their creative director wengine wanasema hiki kiatu ni lazima kiingie kwenye shoe collection yao, as usual tunamacho lakini mboni tofauti,

Kuna rangi nyingi ikiwepo pink na hivi vyeusi ambavyo vina tukumbusha viatu vya zamani wadada walikuwa wanavaa, the one fact about vile viatu vilikuwa vikiisha kisigino hasaa kwa sababu ni plastic well hatujui kuhusu hivi vya balenciaga vipoje. 

Bado havija ingia sokoni na hatujajua lini vitaingia sokoni na vitauzwa bei gani what we know ni kwamba we are going back to the 90’s the hard way

Tuambie je kwako unavionaje?

Comments

comments