Ina weza ikawa ndio kitu kinacho waunganisha wasanii wa kiume zaidi kwa sasa, wasanii wetu wengi wa kiume wame onekana kuwa wana vaa bandana katika mitoko yao ya hapa na pale,wachache ndio wanao zivaa vizuri hizi bandana wengi wanaonekana kukosea namna ya kuvaa.
wengi wana vaa katika hali ya uchafu au tuna weza kusema too much, haikatazwi kuvaa bandana lakini imezidi una weza kumuona mtu kama diamond, ana vaa mara chache chache na ana vaa kiusafi bandana ina Fungwa vizuri na saa nyingine ata ana atch na rangi za nguo zake, tofauti na wengi walio baki
Raymond toa hivo vibandana vyako kichwani hasa hivyo vya maua ua mwishoe nyuki watakung’ata
Nuhu ume onekana kama teja na hii bandana yako
Jux blo u can do better, Hii style haija kufaa kabisa ina bidi mje na kitu kingine AS FASHION COPS hii ni HAPANA KWETU
Related posts
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…