Mwanamuziki Oluwabankole Wellington ambae ana julikana kwa Jina La Bank W kutoka Nigeria amefunga ndoa na mpenzi wake ambae ni actress kutoka huko huko Nigeria Adesua Etomi, Harusi yao hii ni traditional wedding walialika watu wengi maarufu (kitu ambacho tulikitegemea sababu wote ni maarufu), na as we all know Nigerians don’t play linapo kuja swala la mavazi na hasa wakijua wataenda kukutana na watu maarufu wenzao, ki bongo bongo tunasema kukomoana.
Bibi Harusi alivaa Nguo Nne
alivaa Pink dress mara ya kwanza
alibadilisha akavaa hii ya blue
baaada ya hapo zikaja 2 black dresses
Watu maarufu walijitokeza kwa wengi na wengi walipendeza mno, ndoa yao ya kanisani itafanyika South Africa with this slay we cant wait to see what is installed for us.
mama wa bi Harusi
Rita Dominic
Related posts
4 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Here you will find 88564 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/bank-w-and-adesuas-fashionable-wedding/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/bank-w-and-adesuas-fashionable-wedding/ […]
… [Trackback]
[…] There you will find 35907 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/bank-w-and-adesuas-fashionable-wedding/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/bank-w-and-adesuas-fashionable-wedding/ […]