Fashion kwa miaka Mingi imeendelea kupanukana kwa karne hii ya 21 tumejionea wabunifu wa mavazi duniani wakibuni mavazi kulingana na nyakati na kwa kasi UNISEX ama ANDROGYNOUS fashion and style sense imeanza kushamiri .
Well unisex fashion and style ni mavazi yanayobuniwa na kuweza kuvaliwa na jinsia zote yaani ya wanaume na wanawake. Hii ni kwa mashati, sketi, suruali na hata accessories za mwilini.
Trend hii ilikuwepo tokea zamani laini ilibaguliwa na kuonekana ni kitu cha ajabu ila kwa sasa we see celebrities in it. Kwetu Tanzania tumewaona wasanii maarufu kama Diamond Platnumz, Calisah na Twaha Mabantu wakiwa wamevalia vitu mbalimbali vya kike.
Week hii tumewaona wasanii wengine ambao ni Barnaba na Elly Fire nao wakiwa wamevalia fashion hii, ambapo Barnaba yeye alionekana mara mbili, mara ya kwanza akiwa amevalia leather skirt na shirt, mara ya pili akiwa amevalia gauni. Elly fire yeye alichagua kuvaliaoverall dress
Well let us know your thoughts kwenye hii fashion
Related posts
3 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
We need to have some sort of bima ila for enjoyment. Yaani wanakata ka % ka mshahara kako unakua na card ukienda se… https://t.co/W9oDoaN2YY
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/barnaba-elly-fire-in-unisex-fashion/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/barnaba-elly-fire-in-unisex-fashion/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 89360 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/barnaba-elly-fire-in-unisex-fashion/ […]