SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Beautiful Dresses We Spotted Over The Weekend
Mitindo

Beautiful Dresses We Spotted Over The Weekend 

Weekend hii imekua nzuri sana kila kona unayo pita unakutana na watu wamependeza ni kama wameambizana, this weekend was all about looking good. Tumekutana na watu maarufu mbalimbali wamependeza akiwepo Jokate Mwegelo, Julitha Kabete, Diana Flave na stylist Lavidoz.

Miss Tanzania 2016/2017 Diana Flave alionekana akiwa ame attend Miss Kinondoni amevalia ball gown kutoka kwa @myweddingsolutions, rangi yake ni kama nude, her make up and hair were on point, tunatamani asingeivaa hio bracelet na angeingiza simu na funguo yake katika clutch but the dress is dope

Miss Tanzania aliye teuliwa kutuwakilisha Miss World, Julitha Kabete ameonekana in orange dress kutoka kwa Nigerian designer @feronaofficial

she dripped in Gold Ball Gown kutoka kwa mbunifu @mac_couture we looooove the dress, her makeup & earrings

Stylist Lavidoz yeye alikuwa in black & gold dress, ambayo ilikua na high slit mbele, amevalia gauni hilo na black & gold open heels huku akiwa amemalizia muonekeno wake na statement earrings 

well the weekend treated us good week hii.

 

Related posts

3 Comments

  1. สร้างเว็บไซต์

    … [Trackback]

    […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/beautiful-dresses-we-spotted-over-the-weekend/ […]

  2. How to buy online, order Albino Penis Envy Mushrooms,

    … [Trackback]

    […] Here you will find 43157 additional Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/beautiful-dresses-we-spotted-over-the-weekend/ […]

  3. สล็อต ฝากถอน true wallet เว็บตรง 888pg

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/beautiful-dresses-we-spotted-over-the-weekend/ […]

Leave a Reply