Ni mwezi wa mapumziko, na wengi huwa tunapata mialiko ya hapa na pale. tunasumbuka kujua tuvae nini na wengi huwa tunapenda kuvaa designer collection lakini kwanini tusivae designer collection kutoka Africa? tukapeana support wenyewe kwa wenyewe, siku chache nyuma kulikua na Swahili Fashion week na designer mbali mbali wali showcase collection zao, katika hizi collection tumechukua pieces chache zilizo tuvutia ambazo nyinyi ndugu wasomaji mnaweza kununua kutoka kwao na kuvaa katika hii holiday au shughuli mbalimbali.

 

Night Dresses hizi ni za wakati wa usiku inaweza kuwa wedding guest, Date night dress,etc popote pale ambapo unaenda na unataka kuonekana umependeza umewaka hizi zina kuhusu

Kiki Kizimba 

Martha Jabo

These two beautiful dresses kutoka kwa mbunifu Tngazy 

Washington Bella

 

Stella Customized 

parting outfits

Enji maasai 

Jamilla veraswai

Lucky creations 

Kiki Fashion

Beach wear / casual

Handmade Tanzania & Abbey Lewis 

zipo nyingi na wabunifu walijitaidi mno lakini hizi zilivutia zaidi katika macho yetu.