Lagos Bridal Fashion Week inaendelea huko Nigeria ambapo hii uhusisha wabunifu wa mavazi ya sherehe za harusi kwa wanawake na wanaume, well leo tunawaletea yale magauni au mavazi tuliyo yaona katika Fashion Week hii yakatuvutia,
Tumelipenda hili gauni kutoka kwa mbunifu Bibi Lawrence ni wedding dress we love the color & details lakini lilisha valiwa na beverly_osu katika red carpet ya 12th headies awards
Tumependa hili pia kutoka katika collection ya mbunifu Yemi Shoyemi, unaweza kulivaa kama reception dress na kushow your curves, kama wewe si mpenzi wa details nyingi hii ni kwa ajili yako.
We cant get enough of this two dresses kutoka kwa mbunifu Nneka C. Alexander, Ni ndoto ya kila mwanamke kupendeza na kuwa center of attention katika harusi yake, well Nneka C. Alexander, gave us those feelings na hii gauni ya Cinderella it is perfect.
Hii nyingine kutoka kwake ambayo nayo tumeipenda sana
24k Carat of gold kutoka kwa mbunifu Magnetic Elegance, how cute is this piece here?
Dare to be different mbunifu Imad Eduso ametupa hii bridal suit, ambayo tumeipenda sana
We loved these two traditional pieces kutoka kwa mbunifu Shadiat Alasooke
Related posts
HOT TOPICS
The Hardest Part Of Being A Nigerian Bride Is To Comeup With A Bride Look That Wont Match With Any Of The Guest’s A… https://t.co/8vfNPS0IYg
FollowItaly Kumekucha Afromates #TheKardashian #TheKardashian wapo huko kwaajili ya the wedding of the year. Haya mnasubiri lo… https://t.co/kENoAG9RQg
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…